{"id":4839,"date":"2026-10-15T10:49:57","date_gmt":"2026-10-15T10:49:57","guid":{"rendered":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/?page_id=4839"},"modified":"2026-10-15T14:15:48","modified_gmt":"2026-10-15T14:15:48","slug":"malengo-ya-parokia","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/?page_id=4839","title":{"rendered":"Malengo ya Parokia"},"content":{"rendered":"\t\t<div data-elementor-type=\"wp-page\" data-elementor-id=\"4839\" class=\"elementor elementor-4839\" data-elementor-post-type=\"page\">\n\t\t\t\t        <section class=\"elementor-section elementor-top-section elementor-element elementor-element-8006597 elementor-section-boxed elementor-section-height-default elementor-section-height-default\" data-id=\"8006597\" data-element_type=\"section\" data-e-type=\"section\">\n            \n                        <div class=\"elementor-container elementor-column-gap-extended \">\n                    <div class=\"elementor-column elementor-col-100 elementor-top-column elementor-element elementor-element-2437d68\" data-id=\"2437d68\" data-element_type=\"column\" data-e-type=\"column\">\n        <div class=\"elementor-widget-wrap elementor-element-populated\">\n                    \n        \t\t<div class=\"elementor-element elementor-element-9c349bf elementor-widget elementor-widget-ct_heading\" data-id=\"9c349bf\" data-element_type=\"widget\" data-e-type=\"widget\" data-widget_type=\"ct_heading.default\">\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-widget-container\">\n\t\t\t\t\t<div class=\"ct-heading ct-heading-dot h-align- \" data-wow-duration=\"1.2s\">\r\n\t<div class=\"ct-heading--inner\">\r\n            \t\t<div class=\"item--sub-title style-default\">\r\n                <span>\r\n                       \r\n                    MALENGO                            \r\n                <\/span>\r\n            <\/div>\r\n    \t                <h3 class=\"item--title\">\r\n                            <i class=\"dot-shape\">\r\n                    <i><\/i>\r\n                    <i><\/i>\r\n                    <i><\/i>\r\n                    <i><\/i>\r\n                    <i><\/i>\r\n                    <i><\/i>\r\n                <\/i>\r\n                        Vipaumbele na mipango Parokia         <\/h3>\r\n    <\/div>\r\n<\/div>\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t\t<h5 data-interaction-id=\"9e1e2f1\" class=\"e-heading-base e-default-h5\" data-e-type=\"widget\" data-id=\"9e1e2f1\">Maono<\/h5>\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-element elementor-element-bfbcdbb elementor-widget elementor-widget-ct_text_editor\" data-id=\"bfbcdbb\" data-element_type=\"widget\" data-e-type=\"widget\" data-widget_type=\"ct_text_editor.default\">\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-widget-container\">\n\t\t\t\t\t<div id=\"ct_text_editor-bfbcdbb\" class=\"ct-text-editor \">\n\t<div class=\"ct-item--inner\">\n\t\t<div class=\"ct-inline-css\"  data-css=\"\n\t        \">\n\t    <\/div>\n\t\t<div class=\"ct-text-editor elementor-clearfix\"><p data-lfile-container=\"7f9d023e-e08c-46ac-b453-05df41b08bf4\" data-pm-slice=\"1 1 []\">Tunapomaliza ujenzi wa kanisa, Parokia yetu itakuwa mojawapo ya sehemu kuu za hija kwa Mama Bikira Maria nchini Tanzania na nchi jirani. Tunatarajia pia kuwa kitovu cha elimu, afya na uwekezaji, kwa manufaa ya waamini na jamii inayotuzunguka.<\/p><\/div>\n\t<\/div>\n<\/div>\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t\t<h5 data-interaction-id=\"7de4d04\" class=\"e-heading-base e-default-h5\" data-e-type=\"widget\" data-id=\"7de4d04\"> Vipaumbele<\/h5>\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-element elementor-element-441497f elementor-widget elementor-widget-ct_text_editor\" data-id=\"441497f\" data-element_type=\"widget\" data-e-type=\"widget\" data-widget_type=\"ct_text_editor.default\">\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-widget-container\">\n\t\t\t\t\t<div id=\"ct_text_editor-441497f\" class=\"ct-text-editor \">\n\t<div class=\"ct-item--inner\">\n\t\t<div class=\"ct-inline-css\"  data-css=\"\n\t        \">\n\t    <\/div>\n\t\t<div class=\"ct-text-editor elementor-clearfix\"><p data-lfile-container=\"7f9d023e-e08c-46ac-b453-05df41b08bf4\" data-pm-slice=\"1 1 []\">Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli \u2013 Bunju imekua kila mwaka ikitekeleza vipaumbele saba (7) vya kudumu katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Parokia. Kutokana na mahitaji ya kila mwaka, kadiri inavyoonekana inafaa, Parokia imekua ikiongeza vipaumbele vingine vya muda katika vipaumbele vya kudumu vilivyopo na kuvitekeleza sambamba na vipaumbele vya kudumu.<\/p><\/div>\n\t<\/div>\n<\/div>\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-element elementor-element-f390d4d elementor-widget elementor-widget-ct_accordion\" data-id=\"f390d4d\" data-element_type=\"widget\" data-e-type=\"widget\" data-widget_type=\"ct_accordion.default\">\n\t\t\t\t<div class=\"elementor-widget-container\">\n\t\t\t\t\t    <div id=\"ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-accordion layout1 \" data-wow-duration=\"1.2s\">\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item active\">\r\n                <div class=\"ct-ac-title active\" data-target=\"#ceb14a4ct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">i. Kukuza Imani katoliki<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"ceb14a4ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\" style=\"display:block;\">a) Kuandaa hija, mafungo, semina na mafundisho mbalimbali ya kiimani (ikiwemo semina kuhusu matoleo mbalimbali ikiwemo Zaka, sadaka, shukrani, malimbuko nk). <br \/>\nb) Kuweka mikakati ya kuongeza mahudhurio katika sala za jumuiya na kanda.<br \/>\nc) Kuweka mikakati ya kuondoa uchumba sugu.<br \/>\nd)  Kuimarisha  mafundisho  ya  Imani  katoliki  (Wakatekumeni,  Ekaristi  Takatifu, Kipaimara, Ndoa Takatifu nk). Hii ni pamoja na kutoa elimu ya dini katika shule zilizopo jirani na Parokia.<br \/>\ne) Kufanya maadhimisho ya kumbukumbu za upadrisho kwa mapadri wetu.<br \/>\nf) Kufanya maadhimisho ya sikukuu na kumbukumbu mbalimbali za Parokia yetu.<br \/>\ng) Wajumbe wa Kamati Tendaji na Kamati mbalimbali za Parokia kufanya ziara katika kanda za Parokia kwa ajili ya kufanya uinjilishaji.<br \/>\nh) Kuandaa Misa mbalimbali; mfano Misa Takatifu za shukrani, uponyaji kupitia Ekaristi Takatifu nk.<br \/>\ni) Kuhakikisha kuwa Parokia ina vitendea kazi muhimu kwa ajili ya shughuli za utume kwa mapadri, nk.<br \/>\nj) Kuanzisha vyama mbalimbali vya kitume katika Parokia.<br \/>\nk) Kufanya matendo mbalimbali ya upendo na huruma ndani na nje ya Parokia kwa kushirikiana na Vyama vya Kitume katika Parokia.<br \/>\nl) Kudumisha ujirani mwema na majirani, makanisa na taasisi zilizo jirani na Parokia yetu.<br \/>\nm) Kufanya uinjilishaji kwa Parokia zingine ili kusaidia katika kukuza Imani Katoliki katika maeneo mengine<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#1cbdd95ct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">ii. Kuendeleza mradi wa ujenzi wa kanisa la Parokia<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"1cbdd95ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">a) Kuendelea kusali na kuombea ujenzi wa kanisa la Parokia.<br \/>\nb) Kuendelea kufanya uinjilishaji wa utoaji wa zaka kamili ikiwa ni chanzo kikuu cha matoleo kwa ajili ya ujenzi wa kanisa la Parokia.<br \/>\nc) Kutoa taarifa za ujenzi wa kanisa kila mwezi ikijumuisha taarifa za ufundi, fedha na uinjilishaji.<br \/>\nd) Kuendelea kusimamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kanisa na kuhakikisha kuwa mradi huo unatekelezwa kama ilivyopangwa.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#2a2b3dcct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">iii. Kuimarisha uongozi na usimamizi wa jumuiya, kanda, vyama vya kitume na Parokia<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"2a2b3dcct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">a) Kufanya uchaguzi wa viongozi katika ngazi mbalimbali za jumuiya na kanda kadiri kutakavyokua na mapengo katika nafasi za uongozi.<br \/>\nb) Kuhakikisha kuwa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya walei Parokia inakutana walau mara moja kila mwezi.<br \/>\nc) Kuhakikisha kuwa vikao vya Halmashauri ya walei Parokia vinafanyika kila baada ya miezi mitatu (3).<br \/>\nd) Kufuatilia utendaji wa shughuli za vyama vya kitume vyenye hadhi ya Parokia, Kamati Tendaji za Kanda na kamati mbalimbali za Parokia. <br \/>\ne) Kuandaa semina za viongozi ili kuimarisha uongozi wa jumuiya, kanda, vyama vya kitume na Parokia.<br \/>\nf) Kuandaa taarifa za utekelezaji za kila robo mwaka kwa kanda na vyama vya kitume ngazi ya Parokia.<br \/>\ng) Kuhakikisha kuwa jumuiya na kanda zinatekeleza miongozo mbalimbali iliyotolewa na Parokia, mfano mwongozo wa utunzaji fedha katika jumuiya, kanda na vyama vya kitume, mwongozo wa uendeshaji na usimamizi wa sala za jumuiya nk.<br \/>\nh) Kuhakikisha kuwa kamati zinazohitajika kikatiba zinaundwa katika jumuiya na Kanda. Pia kamati za hiari kama kamati ya Utunzaji Mazingira nk.<br \/>\ni) Kuhakikisha kuwa jumuiya, kanda na vyama vya kitume ngazi za Parokia zina akaunti za benki kama inavyoelekezwa na mwongozo wa Utunzaji fedha katika jumuiya, kanda na vyama vya kitume. Sehemu kubwa ya jumuiya, kanda na vyama vya kitume ngazi za Parokia wametekeleza hili.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#d4d45b0ct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">iv. Kuendelea kuboresha mfumo wa Zaka Kamili <\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"d4d45b0ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">a) Kuboresha mfumo wa Zaka Kamili ili uweze kutoa huduma bora zaidi. Ikiwemo kufanya marejeo (\u2018\u2019review\u2019\u2019) ya kila mwaka ya bidhaa na huduma za mfumo wa zaka kwa kushirikiana na mtoa huduma \u2013 Sadaka Digital.<br \/>\nb) Kuendelea kufanya uinjilishaji wa utoaji wa zaka kamili ikiwa ni chanzo kikuu cha matoleo kwa ajili ya ujenzi wa kanisa la Parokia.<br \/>\nc) Kufanya vikao vya mashauriano kila baada ya miezi mitatu baina ya kamati ya zaka parokia na Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei Parokia.<br \/>\nd) Kufanya mafungo kwa wanakamati wa Kamati za Zaka Kamili walau mara moja kila mwaka.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#df79b5fct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">v. Kufanya uwekezaji mbalimbali<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"df79b5fct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">(Hasa kutafuta maeneo ya ardhi)<br \/>\nLengo:<br \/>\n1.  Ili ardhi hizo zije zitumike kwa ajili ya kufanya miradi mbalimbali ya Parokia ili kusaidia katika kuwa vyanzo mbadala vya fedha kwa Parokia.<br \/>\n2.  Ili kupata maeneo ya ziada kwa ajili ya Parokia \u2013 mfano ununuzi wa maeneo kwa ajili ya vigango vipya vya Parokia yetu.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#1386993ct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">vi. Kuwajengea wanaparokia uwezo wa kiuchumi<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"1386993ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">a) Kufanya semina mbalimbali za uchumi na ujasiriamali kwa wanaparokia.<br \/>\nb) Kupitia Kamati za Mipango, Uchumi na Fedha za Kanda, kuhakikisha kuwa kila kanda inafanya  uhamasishaji  ili  wanakanda  waweze  kuunda  vikundi  mbalimbali  vya ujasiriamali.<br \/>\nc) Kusimamia \u2018\u2019Dawati la Ushauri wa Mambo ya Kibiashara na Ujasiriamali\"  lilipo chini ya Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha ya  Parokia. Dawati hili lina majukumu yafuatayo: <br \/>\n(i)      Kupokea  mapendekezo  kutoka  kwa  wanaparokia  wajasiriamali  ya  mada  za kuendesha semina za ujasiriamali katika Parokia yetu.<br \/>\n(ii) Kupokea mahitaji binafsi ya ushauri (maarifa na stadi) kutoka kwa wanaparokia wajasiriamali na kusaidia katika suluhisho la mahitaji hayo - kupitia ndani ya wajumbe wa Kamati ya Mipango, Uchumi na Fedha au kwa wanaparokia wengine kadiri itakavyoonekana inafaa.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n                    <div class=\"ct-accordion-item \">\r\n                <div class=\"ct-ac-title \" data-target=\"#11c1ee2ct_accordion-f390d4d\">\r\n                    <a class=\"ct-ac-title-text\">vii. Utunzaji wa Mazingira<\/a>\r\n                <\/div>\r\n                <div id=\"11c1ee2ct_accordion-f390d4d\" class=\"ct-ac-content\">Kipaumbele cha utunzaji wa mazingira kitaendelea kupewa umuhimu mkubwa katika Parokia yetu kwa kuhakikisha kuwa masuala yafuatayo yanatekelezwa:<br \/>\na) Kuhakikisha kuwa kuanzia ngazi ya jumuiya, kanda na Parokia zinaundwa Kamati za Utunzaji wa Mazingira.  <br \/>\nb) Kuhakikisha kuwa kila kanda inatenga mojawapo ya jumamosi ya tatu (3) au ya nne (4) ya mwezi katika kila robo mwaka kuwa ni siku ya usafi na utunzaji wa mazingira. <br \/>\nc) Katika utekelezaji wa mkakati wa usafi na utunzaji wa mazingira, masuala yafuatayo inabidi yazingatiwe;<br \/>\n\u2022        Upandaji wa miti katika maeneo ya Parokia yetu, makazi ya waamini, sehemu za kupumzikia nk.<br \/>\n\u2022        Kuweka mikakati ya matumizi mazuri ya maji (kuzuia upotevu wa maji) na uvunaji wa maji ya mvua.<br \/>\n\u2022        Kuweka suala la utunzaji wa mazingira katika mafunzo ya katekesi kwa komunio ya kwanza na kipaimara.<br \/>\n\u2022        Upandaji wa miti katika eneo la Parokia wakati wa ziara za Askofu au Askofu Mkuu.<br \/>\n\u2022        Utoaji wa Elimu ya utunzaji wa mazingira katika jumuiya, kanda na Parokia kwa ujumla.<\/div>\r\n            <\/div>\r\n            <\/div>\r\n\t\t\t\t<\/div>\n\t\t\t\t<\/div>\n\t\t            <\/div>\n        <\/div>\n                    <\/div>\n        <\/section>\n        \t\t<\/div>\n\t\t","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MALENGO Vipaumbele na mipango Parokia Maono Tunapomaliza ujenzi wa kanisa, Parokia yetu itakuwa mojawapo ya sehemu kuu za hija kwa Mama Bikira Maria nchini Tanzania na nchi jirani. Tunatarajia pia kuwa kitovu cha elimu, afya na uwekezaji, kwa manufaa ya waamini na jamii inayotuzunguka. Vipaumbele Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli \u2013 Bunju imekua [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"footnotes":""},"class_list":["post-4839","page","type-page","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/pages\/4839","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=4839"}],"version-history":[{"count":22,"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/pages\/4839\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":4866,"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/pages\/4839\/revisions\/4866"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parokiayabunju.or.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=4839"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}